100+ Swahili Jokes That Will Make You Laugh (Mchongoano)

  • Uko na kichwa kubwa hadi ukitoka nje kunakua giza (Your head is so big that it turns dark whenever you go outside)
  • Uko na kipara hadi ukivaa polo neck unakaa rollon (You have a bald head in that you look like a rollon when you wear a polo neck)
  • Uko na mkono rough hadi ukishika mouse computer inaandika “found new hardware!” (Your hands are rough that when you touch a mouse the computer writes on it’s screen “Found new hardware!)
  • Umezoea kuchana muguka sana hadi unaogopa kumeza mboga (You chew Khat so much that you are afraid of swallowing vegetables)
  • Umezoea kuokoa jahazi hadi Safaricom hukuuliza “Utahama lini?” (You like to take airtime loans even Safaricom always asks you “Utahama lini?”) Utahama lini: was a Safaricom a telecommunication company giant in East and central Africa promotion that awarded it’s subscribers with houses. Utahama Lini? means When will you move?

HOME

%d bloggers like this: