Naeza kuactia uone drama wewe,
Naeza kupick nikupee script and then nikupee soundtrack unicheki kwa film wewe,
Naeza kuchora halafu nikuchoree,then unichoree ukidhani nitakuchora kumbe tunachoreana Bora tunaelewana,
Juu Kama mwenye ako ndani ameweza,so nishow mbona siwezi nikushow mbona NAWEZA.
Naeza chukua kalamu nikudescribie Ken, wali Bora kuliko ya Ken’s chic.
Naeza kutembelea uone role model wewe,reason ni ati me ni msanii .
Naeza kusoma na Ni kushow vile wewe Ni msomi nikikumimic bila ubaya juu nacheza kimimi.
Juu Kama mwenye ako ndani ameweza,so nishow mbona siwezi nikushow mbona NAWEZA.
Naeza kuinterview nikutrend kivictoria bila madowo Mimi.
Naeza kuiba bila kuku-tie na juu ya sauti yangu nyororo,coz me hucheza keys zote nikitreble kisuprano na my voicebox ikitoa Tena me najua tu Bass si Mimi Ni beat box.
Naezakupea art attack bila heart hata Kama wewe Ni heartless,
Naeza kuproovia kuwa love is priceless juu si worthless, cause si Kama love igeuzwa then Bill gates agebuy wife materials auze watu but I-phone sells, so I wrote to you to remind you this, am priceless,
Juu Kama mwenye ako ndani ameweza,so nishow mbona siwezi nikushow mbona NAWEZA.
Naeza do all this through the divine power that dwells in me,
Am The Life student who writes with invisible ink that describes visible ideals.
Namaste
This is MIC The Student’s Poem. Click on the provided names and other contests below to view other Notable’s content
Richard’s Poem
Bard Mwendwa’s Poem
HOME
Nice work MIC💯💯💯
LikeLike
Well done
LikeLike