Jokes to laugh out loud

  • Wewe ni mchafu hadi ukiingia baharini kuoga samaki zinatoka nje kutema mate (You are so dirty in that if you go to the lake to swim, all fish get out to spit )
  • Wewe ni mweusi hadi ukijaribu kuingia kwa gari makanga anasema, “Toka! Sibebi Makaa!” (You are too dark, even when you go to board a public vehicle the tout shouts at you, “I don’t carry Coal!)
  • Wewe ni mzee hadi ulizaliwa ile time “Old Testament” ilikua bado inaitwa “Testament” (You are too old in that you were born during the time Testament was not yet called Old Testament)

HOME

%d bloggers like this: